Lyrics
Tembea ujionee, Dunia imebeba Mengi, Tamaa sio kizazi, mzazi wivu haujengi
kila siku tuko mataani sio gud life hatupendi
sina mi nakaa siwezagi kujipretendi
Stay tru, be realy daima nta stay real
mtaa unajua nigekuwa nani kama mziki usingekuwa dili
am ill life ishanipotezeaga dili, kwenu neighbour wanagombana kwetu killer got killed mi nakomaa
najiitaid ila siwez, aiku inapokwisha nashujuru kwa Mwenyezi
umri ungechagua ningesema hapa siongezi .
majukum yanakua naupnguza unyamwezi