Lyrics

Malenga wa kubadili zao nia,
Kama una masikio sikia,
Usije basi ukapuliza gunia,
na wenye roho nyepesi watasengenya,
hawatatuombea,
na mi nishakupenda wee
kwa wazazi nikupeleke,
na mi nishakupenda wewe... wewe

PRE-la la la la la la la la
la là la la la la la la
la la la la la la la la
la la la la la la la la

Lyrics continue below...

Don't want to see ads? Upgrade Now

(In Unison)
Subira jaribu kuivuta leo,
Subira jaribu kuivuta eeeeeh,
Subira jaribu kuivuta leo,
Subira jaribu kuivuta leeeeoooo...

2(Maureen)
Bagua, bagua, utabaguliwa,
Pokea utakubaliwa,
Tabia tabia, imani ndiyo njia,
nimeamua nikupende,
Watu wasitenganishe,
Niwe wako milele,
juu mi nishakupenda wewe,
kwa wazazi nikupeleke,
mi nishakupenda eeeeeh

PRE-

Writer(s): Wambui Ngugi, Brian Chweta Omwoyo, Maureen Muthoni Kunga

Don't want to see ads? Upgrade Now

API Calls

Scrobble from Spotify?

Connect your Spotify account to your Last.fm account and scrobble everything you listen to, from any Spotify app on any device or platform.

Connect to Spotify

Dismiss