Lyrics

Iyeeeeei, Iyeeeeeiiye, Iyeeeeei,
Imekua asubuhi, uwanja wa mapenzi moyoni umechafuka,
Nami sitaki, kufagia upendo uende,
Nina jua yangu roho ni ndogo ni ndogo hasa ikipenda-e
Ndio maana ukiwa tofauti baby, unaniumiza ndani ndani(iyee),

Bado najiuliza ni kipi sijatimiza,
Bado najiuliza ni kipi kinakuumiza,
Bado najiuliza ni kipi mi sijaweza baby,
Bado najiuliza ni kipi sijatimiza(haaa),
Bado najiuliza ni kipi kinakuumiza(haaa),
Bado najiuliza ni kipi mi sijaweza baby(haaa),

Lyrics continue below...

Don't want to see ads? Upgrade Now

Hey! Utaniua ua(haaaha)hey(haaaha),
My baby utaniua ua(haaaha)hey(haaaha),
Ooh utaniua ua(haaaha)hey(haaaha),
Ooh utaniua ua(haaaha)hey(haaaha),
(Utaniua ua),

Nilijichangachanga ilimradi upendeze(ha),
Nikajibanabana ilinisijikweze(ha),
Sikutaka kugombana nikupoteze baby,
Ilimradi niwe na wewe,
Kibaya zaidi(naumia na upendo wako my love),
Ulisema mpaka kifo mama(ha)tungelizikwa wote,
(Tungelifa wote),
Ila unanikatisha tamaa(ha), mimi sitaki uende.

Bado najiuliza ni kipi sijatimiza(bado),
Bado najiuliza ni kipi kinakuumiza(bado),
Bado najiuliza ni kipi mi sijaweza baby(bado),
Bado najiuliza ni kipi sijatimiza(bado),
Bado najiuliza ni kipi kinakuumiza(bado),
Bado najiuliza ni kipi mi sijaweza baby,

Hey! Utaniua ua(haaaha)hey(haaaha),
My baby utaniua ua(haaaha)hey(haaaha),
Ooh utaniua ua(haaaha)hey(haaaha),
Ooh baby utaniua ua(haaaha)hey(haaaha),

(We mama wee)unaniua ua,(We mama wee)unaniua ua,
(We mama wee)unaniua ua,(We mama wee)unaniua ua,
(We mama wee)unaniua ua,(We mama wee)unaniua ua,
(We mama wee)unaniua ua,(We mama wewee),

Unaniua ua(haaaha)hey(haaaha),
Oh baby Unaniua ua(haaaha),
Wewe unaniua ua(haaaha)heiyeiye(haaaha),
unaniua ua(haaaha)mh-hei(haaaha),
Unaniua ua
(you love the one, you love the one, you love the one, You love),
(you love the one, you love the one, you love the one, You love),
(you love the one, you love the one, you love the one, You love),
(you love the one, you love the one, you love the one, You love),

Writer(s): Jux

Don't want to see ads? Upgrade Now

API Calls

Scrobble from Spotify?

Connect your Spotify account to your Last.fm account and scrobble everything you listen to, from any Spotify app on any device or platform.

Connect to Spotify

Dismiss