歌词

Una rangi ya chotara manga manga asili ya kizanzibari
Chocolate color mixer mtanga tanga unang'ara ng'aring'ari
Ngozi laini kachori sambusa bagia

Upo kama mdoli yaani kama wabandia eeeeh eeh eeeh
Ukitembea koko(koko) uko nyuma baikoko(koko) mzigo sio wa buku jero
Sotojo la bokoboko(boko) laini
Nyanya ya kopo(kopo) yaani bunyero bunyero
Eeeh eeh achana na kina Gigi hawana lolote

歌词在下面...

不想看到广告?马上升级

Watazusha nawajigjig penzi watie tope
Nikupeleke kwa bibi Tifah ma Dangote
Uvae shela wigi utapata kwa Aristote Habibi
Habibi Nurul'ayn kipenda roho
Habibi nyonga mkalia ini uh oooh
Habibi Nurul'ayn kipenda roho

Habibi nyonga mkalia ini uh oooh

Mmh penzi lisiwe dibaji zidisha utamu tende
Mahaba yawe full chaji tukomeshe fisadi viwembe
Nikandekande massage wabaki kupiga vijembe
Weka hiriki magadi ongeza na peremende
Ah haaa mchunge shetwani mama twende pole pole

Ah haaa kuna Esma Khan na kina Juma Lokole
Ah haaa wasikupande kichwani wakazua mambo uchocholee
Ah haaa iwe aibu mtaani insta michambo wanichore
Achana na kina Gigi hawana lolote
Watazusha nawajigjig penzi watie tope
Nikupeleke kwa bibi Tifah ma Dangote
Uvae shela wigi utapata kwa Aristote Habibi
Habibi Nurul'ayn kipenda roho

Habibi nyonga mkalia ini uh oooh
Habibi Nurul'ayn kipenda roho
Habibi nyonga mkalia ini uh oooh

Usije kughaili ghaili, mi mwingine sina
Usije kughaili ghaili, penzi likachina
Usije kughaili ghaili, ukanitosa mazima
Usije kughaili ghaili, nuru ikazima
Eh eeh

Writer(s): Lava Lava

不想看到广告?马上升级

API Calls

从 Spotify 记录音乐?

将您的 Spotify 帐户连接到您的 Last.fm 帐户,通过任何设备或平台上的任何 Spotify 应用记录您所听的一切内容。

连接到 Spotify

关闭