歌词
Ulijua uchungu wa mwana uliponizaa
Nashukuru, nashukuru
Tena ukanilea mama ukanifunza
Nashukuru, nashukuru
Mambo yalipokuwa magumu
Ulijikakamua, ulijitolea
Ulinifunza kuomba
Umuhimu wa msamaha
Shujaa ni wewe
Mao, nakukunde
Mlungu ukurasimie sana
Mao, nakulombie
Wucha ghwake ghukunughe
Kwa kala na kala
Mara nyingi nilipokosea, ulinikosoa
Nashukuru, nashukuru
Ulikuwa mrembo wa kwanza
Aliyenipenda yee
Nashukuru, nashukuru
Mambo yalipokuwa magumu
Ulijikakamua, ulijitolea
Ulinifunza kuomba
Umuhimu wa msamaha
Shujaa ni wewe
Mao, nakukunde
Mlungu ukurasimie sana
Mao, nakulombie
Wucha ghwake ghukunughe
Kwa kala na kala
Shujaa ni wewe
Mao, nakukunde
Mlungu ukurasimie sana
Mao, nakulombie
Wucha ghwake ghukunughe
Kwa kala na kala
Mao, nakukunde
Mlungu ukurasimie sana
Mao, nakulombie
Wucha ghwake ghukunughe
Kwa kala na kala