歌词
Leo ni leo na jana ni jana
Kilichokosekana kitapatikana
Giza lituondokee, tukapepee
Tukapepee
Kumekucha amka kijana
Weka jembe kwenye ardhi
Panda panda
Jasho likutetee, ukapepee
Ukapepee
It's a new day, a new day
Ninayotarajia yanifike
It's a new day, a new day
Ninayotarajia yanifike
New day
Baada ya dhiki ni faraja
Matokeo yakupate kwa uwanja
Mazuri yatokee, unapepea
Unapepea, aaah
Go win, no more strugglin
Macho mbele, imani within
Go win, no more strugglin
Macho mbele, imani within
It's a new day, a new day
Ninayotarajia yanifike
It's a new day, a new day
Ninayotarajia yanifike
It's a new day, a new day
Ninayotarajia yanifike
It's a new day, a new day
Ninayotarajia yanifike
New day
Go win, no more strugglin
Macho mbele, imani within
Go win, no more strugglin
Macho mbele, imani within
It's a new day, a new day
Ninayotarajia yanifike
It's a new day, a new day
Ninayotarajia yanifike
It's a new day, a new day
Ninayotarajia yanifike
It's a new day, a new day
Ninayotarajia yanifike
New day