歌词

Kassu
Aah Aaaahh
Mmhh
Nimeshapoteza kila kitu kwenye maisha yangu
Ila sio wewe Mungu
Nishabadilishwa mpaka jina langu
Nikaitwa mfu
Kama sio wewe Mungu
Najua nisingeweza simama nilipougua
Ukaninyanyua
Ukanifanya mpya (ah)
Na Jua lilichoma mwili
Ilinyesha mvua, nilipigwa baridi
Ila naamini mapito ni nguzo
Nayoona leo ni funzo
Kwa leo yangu ama kesho yangu
Kwa Mungu ni fumbo
Ila naamini thamani yangu
Naamini ipo kesho kwangu
Ila naamini (mmhh)
Mimi ni Mshindi
Mimi ni msingi naomba nipiganie Baba
Maneno vita ni mengi, nimeshapigwa sana
Ila kwa Mungu mi mshindi
Na hili litapita sasa
Kwako naona dhahiri utaniongoza
Nilishakatishwa tamaa nikavunjishwa moyo
Nisifikie malengo
Imani na busara wachache wenye upendo
Walinipa moyo
Huzuni nashika tama ni unyonge
Wananiombea mabaya nife nijinyonge
Ila mpaka sasa mi ni mshindi (mimi ni mshindi)
Mpaka sasa (aahh) naona ushindi (naona ushindi)
Ila mpaka sasa (mmhh) mi ni mshindi (mimi ni mshindi)
Mpaka sasa (aaahh) naona ushindi (naona ushindi)
Ila naamini mapito ni nguzo
Nayoona leo ni funzo
Kwa leo yangu ama kesho yangu
Kwa Mungu ni fumbo
Ila naamini thamani yangu
Naamini ipo kesho kwangu
Ila naamini (mmhh)
Mimi ni Mshindi
Mimi ni msingi naomba nipiganie Baba (Oh nipiganie)
Maneno vita ni mengi (Oohh)
Nimeshapigwa sana (nimeshapigwa sana)
Ila kwa Mungu Mi mshindi (Mimi ni Mshindi)
Na hili litapita sasa (litapita na hili)
Kwako naona (kwako naona)
Dhahiri utaniongoza
Utaniongoza
Utaniongoza
Utaniongoza baba
Kassu

Writer(s): Dj Kassu, Hamad Said Mbaraka, Kassumpa Adrian Machati, Rajabu Ally Rajabu

不想看到广告?马上升级

API Calls

从 Spotify 记录音乐?

将您的 Spotify 帐户连接到您的 Last.fm 帐户,通过任何设备或平台上的任何 Spotify 应用记录您所听的一切内容。

连接到 Spotify

关闭